Utalii wa Zambia
Mandhari
Utalii nchini Zambia Ni sekta ya utalii na sekta kubwa na inayokua nchini Zambia. Zambia ina zaidi ya simba 2500 pamoja na mbuga kadhaa za Kitaifa, maporomoko ya maji(waterfalls), maziwa, mito, na makaburi ya kihistoria . Zambia imehusika katika mikataba kadhaa ya utalii na mataifa jirani kama Uganda na Kenya . Wizara ya Utalii na Sanaa ya Uganda ilisema Zambia ni mfano wa kuigwa katika utalii barani Afrika. Wakala wa Utalii wa Zambia (ZTA) umeshirikiana na Serikali na sekta binafsi ili kuimarisha kipengele cha masoko katika sekta ya utalii . [1] [2] [3] [4] [5]
Watalii waliowasili nchini Zambia
[hariri | hariri chanzo]Orodha ya watalii waliowasili Zambia miaka ya karibuni:[6]
Nchi | 2015 | 2014 | 2013 |
---|---|---|---|
Zimbabwe | 225,527 | 208,962 | 191,048 |
Tanzania | 166,833 | 219,215 | 184,187 |
Democratic Republic of Congo | 96,201 | 89,796 | Hakuna taarifa |
South Africa | 94,030 | 98,216 | 87,048 |
United States | 38,496 | 32,625 | 31,826 |
United Kingdom | 36,997 | 31,280 | 32,309 |
Malawi | 31,539 | 29,579 | Hakuna taarifa |
India | 25,517 | 21,117 | 17,136 |
Namibia | 22,311 | 16,742 | Hakuna taarifa |
China | 20,648 | 30,831 | 27,603 |
Total | 931,782 | 946,969 | 914,576 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Zulu, Delphine. "Zambia: Ugandan Minister Hails Zambia's Tourism". allAfrica.com. Iliwekwa mnamo 2015-07-28.
- ↑ "Zambia, Uganda forge relations to improve tourism - Zambia Daily MailZambia Daily Mail". Daily-mail.co.zm. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-21. Iliwekwa mnamo 2015-07-28.
- ↑ "Zambia, disease free Zone-ZTB | Zambia National Broadcasting Corporation". Znbc.co.zm. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-04. Iliwekwa mnamo 2015-07-28.
- ↑ "Zambia : Zambia and Kenya signs several MOUs in Agriculture, Tourism". Lusakatimes.com. 2015-07-04. Iliwekwa mnamo 2015-07-28.
- ↑ The Times of Zambia (Ndola) (2015-06-30). "Zambia: ZTA Strikes Strategic Partnership". allAfrica.com. Iliwekwa mnamo 2015-07-28.
- ↑ "Tourism Statistical Digests". Archived from the original on 2016-07-01
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |